Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina Akwilini, Angela Akwilini ambaye kwa sasa anasoma kidato cha tatu.

Akizungumza leo Februari 23, 2018 baada ya mazishi ya Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam, Profesa Ndalichako amesema atamsomesha Angela hadi Chuo Kikuu.
Good
 
Hifadhi ya Taifa ya Saadan inakabiliwa na upungufu wa pundamilia na swala kutokana na wanyama hao kuuawa na majangiri wanapokwenda kwenye Hifadhi ya Wami Mbiki kwa ajili ya kuzaliana.

Hayo yameelezwa leo Ijumaa Februari 23, 2018 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla alipofanya ziara hifadhi ya Saadan iliyopo Wilaya ya Bagamoyo na Pangani kwa lengo la kuona hali ya utalii katika hifadhi hiyo.
Jamani wachina hawa
 
Back
Top Bottom