Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jina maarufu la huyu ni fukufuku. Nakumbuka kulikuwa na uzi humu kuhusu mdudu huyu na wasichana na kumuweka kwenye chuchu zao ili matiti yakue.

5145ad1739f0fc51323222265c04ff03.jpg
 
Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina Akwilini, Angela Akwilini ambaye kwa sasa anasoma kidato cha tatu.

Akizungumza leo Februari 23, 2018 baada ya mazishi ya Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam, Profesa Ndalichako amesema atamsomesha Angela hadi Chuo Kikuu.
 
Mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini umezikwa nyumbani kwa wazazi wake kijiji cha Olele wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro.

Akwilina aliyeuawa Februari 16, 2018 amezikwa leo Februari 23, 2018 saa 8:45 mchana na mamia ya waombolezaji baada ya kumalizika kwa ibada ya mazishi iliyofanyika kanisa la Mtakatifu Theresia Parokia ya Olele.

Baada ya uwekaji maua katika kaburi, watu mbalimbali wakiwemo wanafamilia watatoa salamu za rambirambi.
 
Hifadhi ya Taifa ya Saadan inakabiliwa na upungufu wa pundamilia na swala kutokana na wanyama hao kuuawa na majangiri wanapokwenda kwenye Hifadhi ya Wami Mbiki kwa ajili ya kuzaliana.

Hayo yameelezwa leo Ijumaa Februari 23, 2018 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla alipofanya ziara hifadhi ya Saadan iliyopo Wilaya ya Bagamoyo na Pangani kwa lengo la kuona hali ya utalii katika hifadhi hiyo.
 
Amesema katika hifadhi hiyo kuna wanyama ambao ni wengi zaidi na wapo wanyama ambao ni wachache hivyo wizara itafanya mikakati ya kuhakikisha kunakuwa na uwiano wa wanyama katika hifadhi hiyo ili kukuza utalii.

Miongoni mwa mikakati hiyo ni pamoja na kupeleka pundamilia 50 na aina mbalimbali za swala kwa maelezo kuwa wanyamapori hao wanaonekana kuwa wachache kuliko wanyama wengine katika hifadhi hiyo.
 
Amesema kwa sasa hifadhi hiyo ina zaidi ya swala 200, twiga 300 na simba 50, wanyama na viumbe wengine wakiwemo kasa wa kijani ambao hawapatikani sehemu nyingine yoyote duniani.
 
Wee acha tu. Yale mazoea unaenda unamkuta,unapata faraja...
Kwa mara ya kwanza nimekutana na tuta,ilikuwa ngumu kuondoka. Mungu ni mwema, kila kitu kinaenda
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom