Sijui kama hawa jamaa wanataka majadiliano. Siyo kawaida yao.Kama hivyo ndivyo serikali ya Nigeria iache kiburi, iingie kwenye majadiliano ya kusaka AMANI ya taifa lake. Kuongea na watu ambao umewashindwa kivita siyo kosa. kubwa hapa ni kuwafanya wazee, watoto na akina mama wa Nigeria wanaishi kwa furaha nchini mwao
Angalia uzije ukazimika kama yule Kibonge. Demiss huwa anazimisha. Shauri yako...!!!Uje unifundishe
Njema dadake, si kwa kupotea huko!!Salama kabisa kakake
Habari ya wewe