Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu, tulianzaje kumuita Muungwana sana Andjul? Au umesahau?Mkewe au shemejie, duuu. Mkewe tena!!!?
Mkuu, tulianzaje kumuita Muungwana sana Andjul? Au umesahau?Mkewe au shemejie, duuu. Mkewe tena!!!?
Jiandae kisaikolojia mkuu, ninavyowajua wafuga mamba wanaweza kukutumia popote ulipo hata kwenye Glass wanaweza kukufikiaYap...Ila sijui kama itakuwa. Nitatumiwa hata mamba kwenye kikombe. Wakerewe si wa mchezo mchezo ati !!!
Nipo. Nawaangalia kwa jicho la hati hati..."Shemejiyo" hajambo?Sijui kakimbilia wapi,ngoja nimwite
SHIMBA YA BUYENZE
Umekimbilia wapi??
Au ndo unaandaa mazingira maryland?[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mnaambiwa hakuna kufanya fujo! Watu wanasikiliza mpira!
Ni kweli matiti yalikua? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Mm pia mmojawapo nilkuwa nafanya hako kamchezo
Njoo tufundishaneWapi tena mm mwenyewe natafuta wa kunifundishaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Njema kabisa mama. Kwema huko?
Nimeona shemeji yako kipenzi Shimba kaunganisha matukio!
Hivi Demis NK bado ipogo kweli? Kitambo sanaDodoma hotel
Afrika, AfrikaMatajiri wa Nigeria wana nguvu kuliko serikali, kuna nchi ambazo zinaacha hivi vitu vitokee kwa manufaa yao mfano; vita, magonjwa, madawa ya kulevya, yaani siasa ni kama bahari! Sisi wa nje huku huwa hatuna clue kabisa ndugu yangu!
Malkia wetu, lazima tumjue bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We kaa tu na picha yako
Si unaturingia hapa
HahahahahaMakapuku wapo, huko ni mwendo maombezi na kwaya mkuu
Andaeitini tulia....Haraka ya nini?Namtafuta field marshall[emoji124] [emoji124] [emoji124]![]()
Nkuhungu ChamaNkuhungu
Club la azizMakole
Morena hotelMedeli
Club 84Area D
Platinum area cArea c
ChuoMipango
Jamani eeh. Utani huu naomba ukome sasa ohooo. Mtakuja kunifanya nitiwe kwenye ignore list bure. Na kutoka huko ni kazi kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Hahahahaha mkuu, unamsubiri Maryland[emoji3] [emoji3]