moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uniq hujambo kijanaKwema Moudgulf
Uniq hujambo kijanaKwema Moudgulf
Kweli mkuu kuna kipindi technology inafeliHaya mambo ndugu yangu ni magumu. Hawa wanakuwa ni watu mnaoishi nao. Kaka, baba, wana na hata dada. Mchana mnajichanganya nao na muda ukifika hao wanawageuka na kwenda kufanya yao. Ndilo tatizo pia walilokumbana nalo Wamarekani huko Afghanistan. Hujui adui yako ni nani na makamanda wengi wanakiri kuwa vita vya aina hii ndivyo vigumu zaidi kupigana, unless uwe katili uue na raia wasiohusika.
Na wakati mwingine hata kama adui anajulikana, inakuwa vigumu kumtokomeza kutokana na weledi wake wa mazingira aliyomo na umahiri wake wa kujishabihisha nayo. Ndiyo maana mpaka leo Joseph Kony bado yupo na jeshi lake. Kwa nini jeshi la Uganda lisiende tu na kumwangamiza mara moja? Ndiyo maana Dos Antos alihangaika na Savimbi kwa miongo kadhaa. Ndiyo maana kule Colombia waasi wa FARK wamejichimbia msituni huko wanalima coca wanauza na kuendelea kupambana kwa miaka pamoja na madege ya Kimarekani yenye teknolojia ya kila aina kuwasaka mchana na usiku. Afghanistan mataliban wamejichimbia mapangoni huko milimani na Wamarekani hawathubutu kutia mguu huko kwa sababu wanajua kuwa wataangamia. Sana sana wanaishia tu kudondosha mibomu yao ya kilo 500 na kukimbia....
Kwa kifupi, mtu akiamua kujitoa mhanga kupambana na kupigania kile anachokiamini, siyo rahisi kumtoa katika mhimili wake aliojiwekea hata uwe na silaha na jeshi lenye nguvu namna gani. Ndiyo maana migogoro mingi ya aina hii huishia kutatuliwa kwa majadiliano. Na kibaya zaidi, unakuta migogoro hii wakati mwingine inachochewa na hao hao wa upande mwingine kwa sababu zao binafsi, kisiasa na vinginevyo. Ni shida mkuu....
Utamu wa udhalimu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukifuata ushauri huu hautakusaidia. Uki- mute leo, subiri ANGALAU mwezi mmoja yaani mpaka tarehe uliyo-mute ndiyo u-left. Vinginevyo utaonekana tu...
Hata mimi nilikuwa na shida hiyo kwenye group moja hivi la washikaji walioligeuza kuwa kipaza sauti cha Mange. Nilimute nikasepa wakanidaka na kunirudisha. Baadaye ndiyo nikagundua kuwa ni lazima kusubiri kidogo nikamute silently mpaka leo wanajua kuwa bado nipo najadili "upuuzi" wao....
Jiridhishe kwanza kama version mpya uliyonayo haina tatizo hilo vinginevyo jamaa watakurudisha tu na kuendeleza kukulisha utamu wa "dhalimu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu sana Maryland sis.
Mzee wa liver atapasuka moyo. Hiyo picha yako tu anavyoilinda imagine eti nikuone laivu. Maweeeeeeeeee !!! Siku hiyo atakodi mamba hapo Nansio na kujitosa ziwani apige makasia kwenda kusikojulikana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha dikteta tenaTupo japo spidi kidogo imepungua. Muasisi wetu dikteta Bitoz alipoondoka basi mvuto ukakosekana sijui kwa nini...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hee! Kumbe hizi chafu ukizipeleka BoT zinaoshwa!!! Nitafute nikupeHapana we nipe tu nitakusaidia kupeleka BOT zikabadilishwe ziwe mpya! Hahahaha
Kwa mchaga! Kiendacho kwa mganga hakirudi!
Uhuru, Uhuru ni Uhuru Kenyata na William LutoUmechukuliwa na ule mhimili uliojichimbia kwa chini zaidi chini ya dhalimu DU. Mpaka tuuchimbue kwa sasa ni kupiga kimya tu au bonga at your own risk.
Yes...Uchungu na utamu vimo ndani ya kingine. Hali kadhalika udhalimu na haki. Mkanganyiko ati !Utamu wa udhalimu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kuna mambo mengi ya msingi kama bunge kujadili sasa ishu imeangukia kwa toilet paper hahahahaha shithole Parliament in Trump VoiceHalafu tukiitwa shithole na akina Trump tunakasirika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zanatakiwa kuchomwa na BOT only!Hee! Kumbe hizi chafu ukizipeleka BoT zinaoshwa!!! Nitafute nikupe
Jamani![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kuna mambo mengi ya msingi kama bunge kujadili sasa ishu imeangukia kwa toilet paper hahahahaha shithole Parliament in Trump Voice
Umbea mkavu hauna ladha, ni sawa na rost ya nyama iliyomwagiwa maji. Umbea, Ubuyu, Upekepeke, Ushankupe lazima iwe kweli kidogo uongp kibaaao[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wapi Carbamazepine, wapi numbisa?[emoji3] [emoji3] [emoji3] Gonga likes kiroho safiNadhani hii ndiyo maana halisi ya umbea. Haupaswi kuwa facts tupu otherwise unakuwa hauna ladha....
Mkuu, sijapinga, sijakubali na wala siko neutral. Kuna tatizo nikionana naye mkuu? Nimekuwa nikimuita sis tangu wakati wa uchaguzi 2015 hata uzi huu haujaanzishwa japo nilikuwa namkorofisha ananitia kwenye ignore list nalia ananiondoa na safari inaendelea. Sisi tushakuwa ndugu ndiyo maana nikipita Dodoma lazima nikusake tu....hahahahaha shimba ISIS ni zaidi ya unavyojua kwangu kuna bond kubwa sana kati yetu![]()
Tena siyo uchwara. Dikteta kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha dikteta tena
Hahahahaha mkuu, unamsubiri Maryland[emoji3] [emoji3]Kausha mkuu. Siri yetu....
AMUN RAhahahahaha shimba ISIS ni zaidi ya unavyojua kwangu kuna bond kubwa sana kati yetu![]()
Jokes ndio raha ya Uzi huuMkuu, sijapinga, sijakubali na wala siko neutral. Kuna tatizo nikionana naye mkuu? Nimekuwa nikimuita sis tangu wakati wa uchaguzi 2015 hata uzi huu haujaanzishwa japo nilikuwa namkorofisha ananitia kwenye ignore list nalia ananiondoa na safari inaendelea. Sisi tushakuwa ndugu ndiyo maana nikipita Dodoma lazima nikusake tu....
Du itabidi niingie huko sijwahi ingia makapuku hata Siku mojaTena siyo uchwara. Dikteta kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haoni niliondoka nikarudi mwenyewe!hahahahaha shimba ISIS ni zaidi ya unavyojua kwangu kuna bond kubwa sana kati yetu![]()