Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alichokujalia Mwenyezi Mungu chaweza kukuletea shida, Alichokunyima Mwenyezi Mungu chaweza kukuletea shida pia.
Umeongea maneno makubwa kwa siku kama hii ya Ijumaa, Ungekuwa karibu nami ningekupatia sahani ya chapati na nyama za kuchoma. Na tuseme "Alhamdulillah" kwa neema hizi alizotujaalia muumba wetu.
 
kp23022018.jpg
 
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu umenifanya nicheke mpaka watu wana nishangaa. Mkuu ninazo zimechakaa lakini hazijachanika, namsubiri mzoa taka nimpe akazitupe. [emoji3] [emoji3]
Hapana we nipe tu nitakusaidia kupeleka BOT zikabadilishwe ziwe mpya! Hahahaha
Kwa mchaga! Kiendacho kwa mganga hakirudi!
 
Back
Top Bottom