Hahahahaha hawezi kuwa nayoSHIMBA YA BUYENZE unaitwa PM na moud akupe picha ya malkia wa mzee wa liver
Kwa kweliMungu atupe afya
HahahahaWakenya wamewataka wabunge wao kubeba karatasi zao za kutumia baada ya haja kubwa bungeni iwapo wameghadhabishwa na ukosefu wa karatasi hizo bungeni.
Wabunge katika mjadala siku ya Jumatano walitumia muda wao mwingi kulalamikia ukosefu wa karatasi hizo na maji katika vyoo vyao.
Ni swala lililowaunganisha wabunge wa chama tawala na wale wa upinzani.
Jamani niokoe my dear!Hahahahaha hawezi kuwa nayo
Is it possibleHahahahaha hawezi kuwa nayo
Aah wewe wasema tu tutaiona tuHahahahaha hawezi kuwa nayo