Salama kabisa kakakeDadake habari
Watu washamuona laivuAisee ni ngumu sana mpka my Queen akubali picha zake ninazo Mimi tu
That is so sweet my dear brother!Mkuu, sijapinga, sijakubali na wala siko neutral. Kuna tatizo nikionana naye mkuu? Nimekuwa nikimuita sis tangu wakati wa uchaguzi 2015 hata uzi huu haujaanzishwa japo nilikuwa namkorofisha ananitia kwenye ignore list nalia ananiondoa na safari inaendelea. Sisi tushakuwa ndugu ndiyo maana nikipita Dodoma lazima nikusake tu....
Hahahahaha mkuu usiwakimbie. wabaya wako popote walipo ishi nao na waelimishe madhara ya kile unachodhani ni kibaya kwaoAhsante sana aisee kuna group nilikuwa nataka kujitoa kitambo kwani yamejaa MACCM kibao ila kuna watu nikijitoa watalalamika sana maana ni damu damu nimeomba ushauri zaidi ya mara tatu kwa wengine kutaka kujitoa huko lakini wakaniambia usijitoe ila piga kimya maana ukijitoa utalaumiwa sana. Sasa najitoa rasmi kwa mwendo wa kunyatuka nyatuka. Kupiga kimya tu haitoshi nikiona upuuzi wanaopost kuhusu dhalimu DU unanichefua sana.
Jomoni jomoni mbona namjua mzee wa liver live! UwiiiWatu washamuona laivu
We unaringia picha
[emoji23][emoji23][emoji23]
Indeed my dearJokes ndio raha ya Uzi huu
Kumbe eeh?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Imagine Mchaga aone hela zinachomwa moto. Fatal heart attack....Zanatakiwa kuchomwa na BOT only!
Wanakupa nyingine mpya!
Uwiii mchaga mie we acha tu!
UuwiiiWatu washamuona laivu
We unaringia picha
[emoji23][emoji23][emoji23]
Shem lakeUuwiii
Haki ya Mola wangu
Hahahaaaaa
Ni kweli mkuu, familia ya wasukuma gozi la ng'ombe. Maulid aliyekuwa mshambulizi wa Yanga alikuwa matata sana enzi zake kama wasemavyo kaka zetu. Huyu Abasi kwa sasa Profesa wa miti shamba mitaa ya KariakooSUNGURA nasikia kaka yake aliitwa Maulid Dilunga alikuwa mbaya sana hadi kuitwa katima timu ya pamoja ya Afrika akatinga ndani ya jezi namba 10.
Kitambo kileee[emoji3] [emoji3] [emoji3]Dilunga na mpira anakwenda anakwenda, duh,kona hapo ndiyo kwenye kiredio flani hivi! Uwiii