Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aisee ni ngumu sana mpka my Queen akubali picha zake ninazo Mimi tuNi utani mkuu...ila hiyo picha lazima niione tu hata ufanyeje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alishakubali. We tu ndo unazingua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unajua kuwa anakuja kutembea huku Maryland? Nitamuona mubashara aisee...Aisee ni ngumu sana mpka my Queen akubali picha zake ninazo Mimi tu