Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Namtafuta field marshall[emoji124] [emoji124] [emoji124]
332d358b7df846b4dbdea093ab8d7a7a.jpg
 
Kama hivyo ndivyo serikali ya Nigeria iache kiburi, iingie kwenye majadiliano ya kusaka AMANI ya taifa lake. Kuongea na watu ambao umewashindwa kivita siyo kosa. kubwa hapa ni kuwafanya wazee, watoto na akina mama wa Nigeria wanaishi kwa furaha nchini mwao
Matajiri wa Nigeria wana nguvu kuliko serikali, kuna nchi ambazo zinaacha hivi vitu vitokee kwa manufaa yao mfano; vita, magonjwa, madawa ya kulevya, yaani siasa ni kama bahari! Sisi wa nje huku huwa hatuna clue kabisa ndugu yangu!
 
Back
Top Bottom