Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] my princess mama yako huyo ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Karibu sana Maryland sis.

Mzee wa liver atapasuka moyo. Hiyo picha yako tu anavyoilinda imagine eti nikuone laivu. Maweeeeeeeeee !!! Siku hiyo atakodi mamba hapo Nansio na kujitosa ziwani apige makasia kwenda kusikojulikana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mamba wake geuza mijusi[emoji3] [emoji3] kuonana na Malkia live si jambo dogo ati. Vinginevyo naye aje mguu kwa mguu[emoji3] [emoji3]
 
Kauli hiyo imekuja kufuatia kutotumiwa katika baadhi ya michezo, ikiwemo wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya siku ya Jumatano wiki hii.

Taarifa zinaeleza kukosekana kwa mahusiano mazuri baina ya Mourinho na Pogba, kumefanya wakala wa mchezaji huyo, Mino Raiola, kumtaka Morinho ampe nafasi mchezaji wake la sivyo ataondoka klabuni hapo.
 
Moud anataka kutulipisha pesa ndiyo tuione hiyo picha. Eti 50,000 kila anayekwenda PM duh! Naye naona ana elementi za Uchaga...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuona picha ya Malkia PM ni $ 5. Usijipe unyonge, malkia ni malkia kweli kweli. tuma pesa umuone malkia kwa jicho lako. Hii ni kwa hisani ya mzee wa liver[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mtoto wa Kim miaka kumi ijayo

Mtoto: Mama. Najua baba ni mashuhuri kwa sababu ni mmojawapo wa wanamuziki wazuri kabisa.

Kim: Ni kweli. Babako ni mwanamuziki mzuri na ana pesa. Ndicho nilichompendea.

Mtoto: Unajua mama. Sijaelewa umaarufu wako unatokana na nini. Ulifanya nini mpaka ukawa maarufu? Au ulikuwa maarufu baada ya kuolewa na baba?

Kim: Sasa swali gani hilo na wewe? Mitoto mingine hasara tupu. Shwaiiiini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom