Mchaga njoo kimya kimya na toroli uzibebe maana zinashambuliwa na panya[emoji3] [emoji3]Zanatakiwa kuchomwa na BOT only!
Wanakupa nyingine mpya!
Uwiii mchaga mie we acha tu!
Mkuu nimezinasa zote, nasubiri Yego ashuke jiji la miamba anijurishe ukweli ulivyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]