Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Askari Polisi mmoja nchini Hispania amefariki kwa mshituko wa Moyo baada kuanguka wakati akijaribu kutuliza ghasia za mashabiki kwenye mchezo wa EUROPA kati ya Athletic Bilbao na Spartak Moscow jana usiku.

Askari huyo wa kiume aliyetambulika kwa jina la Inocencio Arias Garcia, alikuwa na umri wa miaka 50. Baada ya Garcia kuanguka wakati wa vurugu hizo nje ya uwanja wa San Mames, kabla ya mchezo alikimbizwa Hospitali lakini tayari alikuwa ameshapoteza maisha.
 
Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina Akwilini, Angela Akwilini ambaye kwa sasa anasoma kidato cha tatu.

Akizungumza leo Februari 23, 2018 baada ya mazishi ya Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam, Profesa Ndalichako amesema atamsomesha Angela hadi Chuo Kikuu.
Mmmmmmhhhhh
 
Katika dunia ya siku hizi kuna aina ya wanawke wengi .Wapo wale wanaoitwa gold digger Kawaida yao huwa wanajiingiza katika mahusiano na windo lao pasi na mlengwa kujielewa. Mwanaume anayenaswa katika hali hii mara nyingi hawezi kutambua iwapo yuko katika hali ya mahusiano ama kitega uchumi.
 
images.jpg
 
Gold digger ni mtu aina gani?

Hii ni sampuli ya mwanamke (pia kuna wanaume aina hii) ambaye anatumia mahusiano kama kitega uchumi. hujiingiza katika mahusiano kunufaika kiuchumi. Yeye hana haja na mapenzi. Ilimradi umlipie gharama zote ambazo anahitaji yeye yuko sawa kuendelea na wewe hadi mwisho.
 
Back
Top Bottom