Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
Ndio huko mkuuu ikulu ya wachawiGambosh ni wapi mkuu? Ndiyo kwenye gulio la uchawi huko?
Ndio huko mkuuu ikulu ya wachawiGambosh ni wapi mkuu? Ndiyo kwenye gulio la uchawi huko?
Hapana mkuu, huwezi pigwa mnada, ni vile tu watu wana kiherehere cha kumuona Malkia. Acha walipe tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] mlahaba upo, usijali[emoji3] [emoji3]Napigwa mnada my dear uwiii!
Hahahaha
Mm mwenyewe wananichanganyaaaHiyo ni huruma, majonzi rambirambi au kitu gani hasa? Wajuvi mnijuze huenda uelewa wangu ni mdogo
Hahahahaha , nimekusubiri nje hapa kwa masaa kadhaa sijakuona mkuu.Ukisikia hodi ujue ni mie!
Kwenye hifadhi ya Wamimbiki wachina wametelekeza magogo tani kadhaa za miti mbalimbali baada ya kudhibitiwaJamani wachina hawa
$ 5, kwa hisani ya mzee wa liver[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tulia tupige pesa my love
Safi kabisa mkuu! Mwenyezi Mungu bado ananipa kaupendeleo ka kuishi! [emoji1]
Msela nondo toka koromije moja
Mwenyezi Mungu akuongezee zaidi maisha marefu, afya njema, furaha, mapenzi na mafanikio tele kwenye maisha yako.
Oooh yeah!!ni mwendo wa....View attachment 700456
Na kwako iwe hivyo Mkuu! Bila yeye huu ujanja ujanja na utani tunaotupiana humu wala usingekuwepo! [emoji120]
Mkuu wewe ni noma, yani unaenda kumuonyesha msichana kishimo cha fukufuku kisha unamtoa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Hata SHIMBA anayo, sema tu mzee wa liver anampoteza maboya [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huyu naye kapatwa na masahibu gani tena!? Ndombolo si ndombolo, mayenu si mayenu wala si kamanyola!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu kawazimisha wangapi hapa?