mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yap hujambo bibieKisasa sheli
Salama kabisa mkuuMzee wa liver habari yako
Wape vidonge vyao
Du badala kula samaki samaki anataka kula mtuWakazi mbalimbali wa eneo hilo waliliambia shirika la utangazaji nchini Australia la ABC kuwa tukio hilo limewashtua kwani halijatokea kipindi cha zaidi ya miaka 25 hivyo ni la ajabu.
Mwanamke huyo amefanyiwa upasuaji na afya yake imeanza kuimarika.