mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Jibapa hahahahahaMojawapo ya salamu bora kabisa japo ina kaharufu ka jibapa. ASANTE mkuu....
Jibapa hahahahahaMojawapo ya salamu bora kabisa japo ina kaharufu ka jibapa. ASANTE mkuu....
Kwa ubuyu tu hujamboZari atoboa siri rasmi kuachana na Diamond, amwanika vibaya “kukumbatiana na ma X kwenye public”
Kwa mara ya kwanza Zari the Bossy Lady ambaye ni mama watoto wa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinumz amefunguka kuhusu sababu za kuachana na C.E.O huyo wa kundi la Wasafi Classic Baby (WCB), amesema Diamond hakutegemea alichokipost kwani siku kabla ya kuachana walikuwa wamechuniana kwa takribani muda wa wiki tatu mfululizo, huku akiwa ameifungia simu yake, ”Block”.
Zari akiwa nchini Uingereza amepata nafasi ya kuzungumza na BBC Swahili na kufunguka kila kitu kuhusu ishu nzima mpaka kufikia maamuzi hayo ya kutangaza kwenye akaunti yake ya instagram kuachana na Diamond katika siku ya wapendanao.
‘’Kwanza I didn’t think ali expect my post he didn’t see it coming ,nimekaa sana mda mrefu nikajifikiria vitu vingi nikasema unajua ni nini I need to post this, I need to end this..tulikuwa tuna jaribu ku move forward kuhusu hiyo skendo eti amepata mtoto, lakini leo unasikia hivi unaona vile eti kukumbatiana na ma x kwenye public ni vitu vya kunidharirisha vitu vya kunifanya niwe very disrespected na watoto wangu’’, amesema Zari.
Marufuku kukata tamaa
Maisha ya kila Siku ni hesabuKuchoshana akili tu[emoji57][emoji57][emoji57]
Aliyegundua hivi vitu sijui alikuwa na maana gani
HahahahahaTumia hii mbinu shemeji kujua yupi ana kiLemutuz na yupi ana lisaksafoni...unakwenda "vitani" ukiwa umejiandaa vizuri kimwili na kisaikolojia. Ina ukweli [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Nenda pale magogoni au lumumbaMwenye namba ya JPM au ya Polepole aniPM
Mkuu hesabu ndio mambo yoteLi Aizaki Nyutoni liligundua kalikyulasi. Lipaithagorasi lilipenda sana trigonometria.(elimu ya maumbo)...Hovyo kabisa...
Si mchezoAndjul, twende tukawasalimie hawa wapendwa. Ai emu shua zei needazi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Liverpool 4 West Hum 1EPL Leicester vs Stoke 1-1 Fulltime
KK niajeNitakuwa shahidi wa mwisho maana nimesahau