Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a0463bee2f614b9ca947ed6d35c9b24f.jpg
 
Mojawapo ya salamu bora kabisa japo ina kaharufu ka jibapa. ASANTE mkuu....
Hahahaaaaa... Yaani nipo tu na dadaako na vijana wananipa ubuyu wa mwezi mzima.
Jibapa haliguswi muda huu maana ni wa kusikiliza na kucheka,kusikitika,kushangaa ili mradi tu baba amerudi furaha imerejea nyumbani.
Mpwa wako wa mwisho(she is 7yrs) alimuuliza mamaake "mlikutanaje na baba?"
Akamjibu "subiri arudi tutakusimulia kwa pamoja"... Baadae tunaangalia cd ya CYBORG maana ndio chanzo cha kukutana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Welo kamu Shimba[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Maisha tunayakompliketi wenyewe tu shemeji darling. Menyewe kumbe yako rahisiiiiii...Kama siumwi. Kama nina chakula. Kama nina mahali pa kuweka kichwa changu basi najihesabu kuwa nimebarikiwa sana na Mungu wangu; na mengine yote ni madogo. Hii ya kutaka kupendwa na watu, kujilinganisha nao, kujali watanionaje na mengineyo ni kujibebesha mizigo tu ya kisaikolojia na kihisia bure. Anayetaka kubakia maishani mwangu atabaki na nitamuenzi na kumheshimu sana. Na anayetaka kwenda zake naye anakwenda. Dunia hii ina watu bilioni 7+. Lazima kutakuwa na watu wengine huko atakaoshabihiana nao kwa ukaribu zaidi huko. Ni uamuzi rahisi na usio na mawaa.....
 
Back
Top Bottom