myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kutoa ni moyo
Kuchoshana akili tu[emoji57][emoji57][emoji57]Hoooovyoooooo !!!
![]()
Wanajua Kisukuma?Hahahaaaaa... Yaani nipo tu na dadaako na vijana wananipa ubuyu wa mwezi mzima.
Jibapa haliguswi muda huu maana ni wa kusikiliza na kucheka,kusikitika,kushangaa ili mradi tu baba amerudi furaha imerejea nyumbani.
Mpwa wako wa mwisho(she is 7yrs) alimuuliza mamaake "mlikutanaje na baba?"
Akamjibu "subiri arudi tutakusimulia kwa pamoja"... Baadae tunaangalia cd ya CYBORG maana ndio chanzo cha kukutana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Welo kamu Shimba[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nini? Weka picha ya vidole vyake tumhakiki kama ni ndefu,nene,nzito na imepinda kwa mbele (in SYB's voice)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tumia hii mbinu shemeji kujua yupi ana kiLemutuz na yupi ana lisaksafoni...unakwenda "vitani" ukiwa umejiandaa vizuri kimwili na kisaikolojia. Ina ukweli [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Namba zote zipo kwenye tovuti zao husika. Just gugo...Mwenye namba ya JPM au ya Polepole aniPM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nini? Weka picha ya vidole vyake tumhakiki kama ni ndefu,nene,nzito na imepinda kwa mbele (in SYB's voice)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
It as simple as that....crystal clear...[emoji23][emoji23][emoji23]
Noted!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumia hii mbinu shemeji kujua yupi ana kiLemutuz na yupi ana lisaksafoni...unakwenda "vitani" ukiwa umejiandaa vizuri kimwili na kisaikolojia. Ina ukweli [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Li Aizaki Nyutoni liligundua kalikyulasi. Lipaithagorasi lilipenda sana trigonometria.(elimu ya maumbo)...Hovyo kabisa...Kuchoshana akili tu[emoji57][emoji57][emoji57]
Aliyegundua hivi vitu sijui alikuwa na maana gani