Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The Nurse. A Novel by Shimba ya Buyenze...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
8c5564bf8be9c99f6384898809467b43.jpg
 
Hawajui kisukuma wala kinyakyusa...
Kuna sehemu nimechemka kwenye malezi,hawaendi kokote,mama yao si mzuri wa kisukuma.
Nadhani wamepoteza asili ya wazazi wao. Labda angekuwepo hai mama wangejua kuongea kinyakyusa maana alikuwa anapenda kukaa nao
Kama kutojua kikugha ni kuchemka kimalez basi hata wazazi wangu wamechemka sijui kilugha kabisaaa
 
Tumia hii mbinu shemeji kujua yupi ana kiLemutuz na yupi ana lisaksafoni...unakwenda "vitani" ukiwa umejiandaa vizuri kimwili na kisaikolojia. Ina ukweli [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]jamani jamaniii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu wengi wanakwama kwenye maisha kwa sababu tu ya kuishia kwenye zile hatua ambazo tayari wameshachukua na kusahau hatua moja ya muhimu sana kwao. Hatua hii ndiyo ambayo mimi na wewe tunatakiwa kuichukua kila wakati ili kufanikiwa.
 
Utakuta mtu alikuwa na mipango fulani na kweli kaifanikisha. Kutokana na kuifanikisha mtu huyu anajisahau na kuridhika sana na pale alipo na kusahau hatua inayofuata baada ya hapo ni hatua gani ambayo ni muhimu zaidi kwake.
 
Kwa sababu unatakiwa ujue ukishafanikiwa katika jambo la kwanza, hatua inayofuata kwako ni hatua gani? Pasipo kujua hatua inayofuata yaani ‘next step’ huwezi kusogea na utajikuta unaanza kufanikiwa kwa kwenda nyuma badala ya mbele.
 
Back
Top Bottom