Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika safari ya mafanikio, yapo mambo ambayo huwezi kuyakwepa hata ufanyaje, mambo hayo ni lazima ukutane nayo. Kuna wakati mambo hayo yanakuwa yanakatisha tamaa sana usipokuwa makini yanaweza kukuangusha. Leo nataka tuyazungumzie mambo haya ambayo huwezi kuyakwepa kwenye safari ya mafanikio yako;-
 
1. Kupoteza baadhi ya marafiki.
Unapatafuta mafanikio yako kuna wakati unatapoteza marafiki zako ambao unaona hamuendani. Sio marafiki wote mtaokaoweza kwenda nao kwenye safari ya mafanikio. Kuna marafiki utawapoteza kwa sababu hawakusaidii kuweza kufikia kule unakotaka. Inapotekea hivyo usishangae huo ndio ukweli, hakuna namna zaidi ya kuachana nao.
 
2. Kufikiri kama unachanganyikiwa.
Kuna wakati vitu vinakua vingi sna kichwani mpaka unaoana kicwa kinawaka moto au unahisi kama vile unachanganyikiwa. Hizi ni hali zinatokea sana kwa mtu yeyote ambaye ni mtafuta mafanikio. Ukiona kila wakati umetulia na kichwa hakikusumbui, utambue bado hujafikia hatua hiyo ya kutafuta mafanikio yako kwa kasi.
 
3. Kupatwa na maumivu.
Huwezi kukwepa kukutana na maumivvu unapotafuta mafanikio yako. Kuna wakati utakutana na maumivu ya kukataliwa, kuna wakati utakutana na maumivu ya kupata hasara. Huu ni mojawapo ya mlolongo mchache wa maumivu ambayo unaweza kukutana nayo kwenye safari ya kutafuta mafanikio yako.
 
4. Kupoteza pesa.
Upo wakati utafika utapoteza hata pesa zako ikiwa kama hujapoteza. Hilo ni jambo mojawapo pia ambalo unatakiwa ulijue kwamba lipo kwenye safari ya mafanikio yako. Unapopoteza pesa zako, tafadhari usikate tamaa, hiyo ni dalili tosha ya mafanikio mengine makubwa yanakuja kwako, kikubwa ongeza juhudi na tafuta pesa zingine.
 
5. Kukatishwa tamaa.
Kipo kipindi wakati unatafuta mafanikio yako utakatishwa tamaa na rafiki zako, ndugu zako na hata mumeo au mkeo kwamba ndoto hizo haiwezekani kwako kuweza kuzifikia. Yote hayo unapaswa kuyajua kwamba yanaweza yakakutokea na hutakiwi kukata tamaa, unatakiwa ujue hali hiyo ipo na unatakiwa kupambana nayo.
 
6. Utakuwa unajitilia shaka sana.
Pia ni lazima utafika wakati utakuwa unajitilia shaka kwa kuona kwamba huwezi kitu. Kila unapoangalia ndoto zako na kuona ni kubwa unakuwa unawaza sana kwamba ‘kweli nitaweza hili.’ Lakini hapa naomba nikwambie unaweza, haijalishi umejitilia shaka mara elfu moja lakini unao uwezo wa kuweza kusonga mbele kwenye maisha yako.
 
7. Utakosolewa sana.
Wakati unatafuta mafanikio kuna muda utafika kila unachotaka kufanya unakosolewa na wengine kwamba kitu hicho hakifai. Usipokuwa makini utakuwa unaacha kila kitu kwa kusikiliza maneno ya watu wa nje. Kikubwa hapa iamini ndoto yako na usisikilize mtu kwamba huwezi hili au lile, wewe jiamini na fanya.
 
8. Utashambuliwa bila sababu.
Kuna watu watajitokeza watu kukutuhumu wewe ni mtu wa kudhulumu, au wewe pesa zako unatafuta kwa njia ambazo sio halali. Na watakwambia maneno mengine mengi, lakini ukweli utakuwa unaujua wewe ni kipi ambacho unakifanya, kwa hiyo unatakiwa usimame imara pasipo kuteteleka kwa kusikiliza maneno ya watu.
 
Nzuri tuu, Shkamoo dadii
Aliyechafua akili yangu anirudishie kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1519391232244.jpeg
 
Haya kwa kifupi ni baadhi ya mambo ambayo ni lazima ukutane nayo katika safari yako ya mafanikio. Mambo haya yanapojitokeza kwako yasikukatishe tamaa hata kidogo bali yakupe chachu ya wewe kuweza kusonga mbele. Watu wenye mafanikio wanakabiliana sana na mambo kama haya na mwisho lakini hushinda.
Fanyia kazi mambo haya na chukua hatua kuhakikisha ndoto zako zinatumia.
 
Wanajua Kisukuma?

Nina collection nzuri ya nyimbo za Kisukuma niwaletee?

Family is everything my friend. You are blessed. Msalimie sana dada. [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hawajui kisukuma wala kinyakyusa...
Kuna sehemu nimechemka kwenye malezi,hawaendi kokote,mama yao si mzuri wa kisukuma.
Nadhani wamepoteza asili ya wazazi wao. Labda angekuwepo hai mama wangejua kuongea kinyakyusa maana alikuwa anapenda kukaa nao
 
Back
Top Bottom