Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawajui kisukuma wala kinyakyusa...
Kuna sehemu nimechemka kwenye malezi,hawaendi kokote,mama yao si mzuri wa kisukuma.
Nadhani wamepoteza asili ya wazazi wao. Labda angekuwepo hai mama wangejua kuongea kinyakyusa maana alikuwa anapenda kukaa nao
Ni kawaida kwa hawa maandaeitini wetu na kizazi chao. Hata akina numbisa na Carba ukiwatupia kilugha wana-mute. Lugha zetu masikini zinakufa pole pole.

Ni Yego pekee ndiye anajua lugha yake ya mama kwa kina na Kikoromije tena kile cha ndani kabisa.
 
Kama nilivyokwambia maisha ya wengi yamekwama kwa sababu ya kusahau hatua inayofuata ni ipi. Ni kweli ulitafuta kazi umepata, hatua sasa inayofuata hapo ni nini? Kama una ndoto za kubaki hapo kwenye hiyo kazi milele ujue kabisa umesahau ‘next step’ yako.
 
The Nurse. A Novel by Shimba ya Buyenze...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
8c5564bf8be9c99f6384898809467b43.jpg
Naomba hiyo novel pls[emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka tu nisome vyenye umesifia.....
 
Li Aizaki Nyutoni liligundua kalikyulasi. Lipaithagorasi lilipenda sana trigonometria.(elimu ya maumbo)...Hovyo kabisa...
Hizo ndio topics pekee zinazo sababisha ufeli chemistry kama ni wa PCM au ufeli Jiografia kama ni wa PGM
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]PUA MASEMATIKISI mfyuuuu zake....
 
Ni kawaida kwa hawa maandaeitini wetu na kizazi chao. Hata akina numbisa na Carba ukiwatupia kilugha wana-mute. Lugha zetu masikini zinakufa pole pole.

Ni Yego pekee ndiye anajua lugha yake ya mama kwa kina na Kikoromije tena kile cha ndani kabisa.
Yaani kama mimi ni bure kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukoo utanihurumia tu kwakweli.
 
Back
Top Bottom