Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Andjul, twende tukawasalimie hawa wapendwa. Ai emu shua zei needazi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
a3f33da62d24bfc27dc57cb5ab33c0a3.gif
Yaani hapo mwanzo kushoto na wa pili kutoka kulia kwangu naumwa kabisaaaa...
Ila maisha haya jamaniiii[emoji24] [emoji24] [emoji24] natamani vya ukweli ujue!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Shimba una nini lakini?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nimeliona hilo kaburi lilivyonakshiwa kwa ustadi wa ajabu kwa nje nikaamua kulifukua. Sorry...[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Back
Top Bottom