mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Poti poti habari za Jumapili
Poa kabisa jana tumempa mtu nnePoa kabisa Poti. Mambo niaje?
Huyu John Phelps hahahaha
SijamboYap hujambo bibie
Hakika huku Mungu anasaidia. Tumeanza siku vizuri kabisaNipo Mkuu! Weekend shwari kabisa, vipi mambo ya weekend huko?
Jumapili ni nzuri kabisa, imeanza kwa baraka nyingi nyingi tu. Habari ya Handeni mkuu?Mkuu habari za Jumapili
[emoji124] [emoji124] [emoji124] hasa wanawake kwa viunoo... Ni shidaaaaaa...Wazaramo kabila zuri sana