Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji wa klabu ya Paris St Germain, Neymar Junior huenda akakosa mchezo wa klabu Bingwa barani Ulaya dhidi ya Real Madrid baada ya lkuumia vibaya jana usiku kwenye mchezo wa ligi nchini Ufaransa dhidi ya Marseille.
 
Wakati PSG wakiwa njia panda juu ya mchezaji wao hali ipo tofauti kwa klabu ya Barcelona ambao hao tayari wameshapata pigo kwa kumkosa beki wao wa kulia, Nélson Semedo kwa mwezi mmoja baada ya kuumia kwenye mchezo dhidi ya Girona.
 
Wakati dunia nzima ikipambana kuzuia ongezeko la maambukizi ya magonjwa ya ngono kama UKIMWI, Kaswende, Gonorea na magonjwa mengine yanayoshabihiana, hii ni tofauti kabisa na kabila la OVAHIMBA ambalo hadi karne hii ya 21 bado wanatamaduni hatari kwa afya zao.
 
Kabila la OVAHIMBA ambalo linapatikana kaskazini mwa Namibia katika mikoa ya Kunene na Omusati, bado wanautamaduni wa kuwapokea au kuwakaribisha wageni wa kiume kwa kufanya mapenzi wakiamini kuwa hiyo ndiyo heshima anayostahiri mgeni.
 
Imeelezwa kuwa mgeni anapowasili kwa siku ya kwanza kama ilivyokawaida huandaliwa chumba na kisha kumteua mwanamke/binti ambaye hajaolewa kwenye familia kulala na mgeni kitanda kimoja kwa siku ya kwanza.
 
Kwa maelezo ya makala iliyochapishwa na mtandao wa shirika la habari la AP, imeelezwa kuwa wanawake huwa hawana njia ya kukataa maamuzi hivyo moja kwa moja hutii maamuzi ya wanaume kwenye jamii yao.
 
Back
Top Bottom