Hahaha poa nacheka maana sijui nataka kukaribishwa msosi ganOkay siku nyingine nitakukaribisha bahati mbaya nimeshamaliza.
Hahaha poa nacheka maana sijui nataka kukaribishwa msosi gan
Anhaaa hapo sawa.Lol! Hahahahaha usiwe na hofu Numbisa. Ni msosi mtamu tu YUMMY!
Joto ni kali kweli kweli daaHili jua la leo ni balaa. Kama upo DSM nafikiri utakuwa unalipata pata ladha yake. Nimefika hom shati lote limeloa jasho
Numbisa. Jitwishe jukumu hili. Mrudishe Carba hapa...Anhaaa hapo sawa.
Mmmh carba namuogopaNumbisa. Jitwishe jukumu hili. Mrudishe Carba hapa...
Kijana mkali jioni njemaaaAseno
Whai?Mmmh carba namuogopa
@BAK hizi picha zenu hazina kasoro kwangu hata kidogo.
Nafikiri wakati zilipokuwa zinanipa shida nilisema na huu mjadala sikuuanzisha mimi,mimi niliunga mkono hoja iliyokiwa ikizungumzia utumwaji wa picha hizi midaa ya mchana(maana ilikuwa ikinipa shida kufungua uzi mchana)na mkajitahidi kuzipunguza.
Wakati ule haikuwa deal sana kama kilichotokea jana hapa.
Nashindwa kuelewa kwanini huu mjadala umekuwa mkubwa kiasi hiki.
Humu ndani tuko watu wa aina tofauti hatuwezi pangiana kipi chakutuma na kipi cha kuacha.
Kila mtu afanye kile anaona moyo wake unaridhika nacho.
CHAWAMITA iwe na amani.