Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

26071709_150584368930317_3979954272589578240_n.jpg

Duuu, Mkuu taratibu aisee! Hii rangi ya Chocolate inatatanisha sana! [emoji1][emoji1]
 
Tuvumiliane humu tumo wengi sana kila mtu akishaanza kusema hiki kisiwekwe kile kisiwekwe mwisho tutapoteza uhuru tuliookuwa nao hapa. Sijaona picha yoyote ya SHIMBA YA BUYENZE, au ya ho chi minh city ambayo inadhalilisha mama zetu dada zetu shangazi zetu au marafiki zetu wa jinsia KE. Mimi pia siwezi kutuma picha humu ya KE ambayo inawadhalilisha wenzetu kwa namna yoyote ile. Naamini kabisa kwa kuwasoma SHIMBA na ho chi minh hawa wote wana heshima za hali ya juu kwa wenzetu wa jinsia KE hali kadhalika mimi.
Angalizo zuri. Kuvumiliana ndiyo kumeufikisha huu uzi hapa ulipo. Tusipoteze misingi na uhuru wetu ali mradi hatuvunjiani heshima, undugu na utu tuliojiwekea. Amen !!!
 
Daa, Mkuu! Naona wewe ulikuwa unaanzia, Ushirika Club, baadae unahamia Bilicanas, kabla hujakimbilia YMCA na ikiwezekana usiku huo huo mmoja unamalizia kule kwa Babu Mwakitwange, Rungwe Oceanic! [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani mshua wako alikuwa anakupa stori deep sana. Kwema lakini ndugu?
 
Mie Mkuu sioni kabisa ubaya wa hizi picha. Na ndiyo sababu hata MODS hawajatia neno ni picha ambazo unaweza kabisa kuziona wahusika wakiwa public kama ni beach au kwingineko. Mie Mkuu napinga kabisa picha hizi kukataliwa katika uzi huu sioni sababu yoyote ile ya maana ya picha hizi kukataliwa. Labda tuelezwe picha hizi zina kasoro zipi hadi zisitakiwe kuwekwa hapa.

carbamazepine
@BAK hizi picha zenu hazina kasoro kwangu hata kidogo.
Nafikiri wakati zilipokuwa zinanipa shida nilisema na huu mjadala sikuuanzisha mimi,mimi niliunga mkono hoja iliyokiwa ikizungumzia utumwaji wa picha hizi midaa ya mchana(maana ilikuwa ikinipa shida kufungua uzi mchana)na mkajitahidi kuzipunguza.
Wakati ule haikuwa deal sana kama kilichotokea jana hapa.

Nashindwa kuelewa kwanini huu mjadala umekuwa mkubwa kiasi hiki.

Humu ndani tuko watu wa aina tofauti hatuwezi pangiana kipi chakutuma na kipi cha kuacha.
Kila mtu afanye kile anaona moyo wake unaridhika nacho.

CHAWAMITA iwe na amani.
 
Back
Top Bottom