Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

26273554_568655256817518_6385720507693531136_n.jpg
 
Tuvumiliane humu tumo wengi sana kila mtu akishaanza kusema hiki kisiwekwe kile kisiwekwe mwisho tutapoteza uhuru tuliookuwa nao hapa. Sijaona picha yoyote ya SHIMBA YA BUYENZE, au ya ho chi minh city ambayo inadhalilisha mama zetu dada zetu shangazi zetu au marafiki zetu wa jinsia KE. Mimi pia siwezi kutuma picha humu ya KE ambayo inawadhalilisha wenzetu kwa namna yoyote ile. Naamini kabisa kwa kuwasoma SHIMBA na ho chi minh hawa wote wana heshima za hali ya juu kwa wenzetu wa jinsia KE hali kadhalika mimi.

Jamani tuambizane ukweli ni mtoto gani miongoni mwetu anayetembelea uzi huu? Labda tuamue kuachana na hizo picha kwa sababu nyingine lakini si kwa utoto
 
Back
Top Bottom