Siyo usiku saa hizi huko? Saa sita usiku specific? Ni mtoto gani aliyeko macho kwa sasa?Hako ka kibaragara hapo kameharibu picha ila BAK wewe mchokozi unaziweka makusudi bado mchana huku hahaah
Leo utaniita kila aina ya jina. Mara mkuu. Sasa nimekuwa bosi dah! Sijui unanitafuta nini leo....Sawa boss ukizipata utarusha zinafurahisha
Pengine Numbisa naye hayupo Bongo huyu anatusumbua tu...Tafsiri ya kibaragara itapendeza Numbisa. Karibu sita usiku weye unasema mchana!!!! Mchana wa wapi Numbisa? Bondeni?
Wengi tu wapo macho aaah kumbe mnaogopa watoto aah hata wahenga kama mie tunaziogopa hizo picha.Siyo usiku saa hizi huko? Saa sita usiku specific? Ni mtoto gani aliyeko macho kwa sasa?
HahahahhahahaaPengine Numbisa naye hayupo Bongo huyu anatusumbua tu...
Buraza ila sahau kuitwa bebi akati jakito umemtupia kwenye kukuita daddyLeo utaniita kila aina ya jina. Mara mkuu. Sasa nimekuwa bosi dah! Sijui unanitafuta nini leo....
Bebi ingependeza zaidi. Au bageshi lakini mkuu na bosi dah. Naumiaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Buraza ila sahau kuitwa bebi akati jakito umemtupia kwenye kukuita daddy