Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b65e4f87810baccf7f5adee6e722f705.jpg
 
Samahani sikuiona tag yako lazima ningekujibu tu. Sipendi kuacha kujibu watu ninaowaheshimu humu walinioquote ila saa nyingine unakuta kuna alerts 400 za likes na quotes huwa najitahidi kuzijibu za wale ninaowaheshimu humu lakini saa nyingine muda hauruhusu kuzijibu zote.

Ee man u damu damu.

Mmh kuna zile mnawekaga mchana aiseee kuna moja uliiweka nikakutag na kukwambia hazifai wakati wa mchana sio nzuri na nikaandika comment ya kumtaka shimba awaambie muwe mnaziweka usiku,nikaungwa mkono na wengi.

Muwe mnaweka usiku bana,mchana zinazingua macho yasiyo na pazia
 
Samahani sikuiona tag yako lazima ningekujibu tu. Sipendi kuacha kujibu watu ninaowaheshimu humu walinioquote ila saa nyingine unakuta kuna alerts 400 za likes na quotes huwa najitahidi kuzijibu za wale ninaowaheshimu humu lakini saa nyingine muda hauruhusu kuzijibu zote.
Inaonekana hizi picha mkuu zinakera watu kweli kweli. Hata usiku huu wa manane bado ni ishu. Unashauri tufanyeje? Una mpango wa kuachana nazo ama?[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Aah shimba mbona unakua serious!!? Mwagen picha hizo watu waburudike kila mtu na burudan yake
Inaonekana hizi picha mkuu zinakera watu kweli kweli. Hata usiku huu wa manane bado ni ishu. Unashauri tufanyeje? Una mpango wa kuachana nazo ama?[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Samahani sikuiona tag yako lazima ningekujibu tu. Sipendi kuacha kujibu watu ninaowaheshimu humu walinioquote ila saa nyingine unakuta kuna alerts 400 za likes na quotes huwa najitahidi kuzijibu za wale ninaowaheshimu humu lakini saa nyingine muda hauruhusu kuzijibu zote.
Usijali bak. Its ok. Kuweni huru maana hata mie nakeraga watu kwa magazeti mia mia nnayomwaga humu.
 
Back
Top Bottom