Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe Numbisa ni MANU? Hahahahahahahah mie sikujua naona huwa unapiga kimya mkipigwa bao. Hongera sana. Nawe hizi picha za warembo zinazowekwa hapa na BAK, ho chi minh na SHIMBA YA BUYENZE zinakukera?
Ee man u damu damu.

Mmh kuna zile mnawekaga mchana aiseee kuna moja uliiweka nikakutag na kukwambia hazifai wakati wa mchana sio nzuri na nikaandika comment ya kumtaka shimba awaambie muwe mnaziweka usiku,nikaungwa mkono na wengi.

Muwe mnaweka usiku bana,mchana zinazingua macho yasiyo na pazia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Avumilie tu. Miaka mingine 7 ijayo siyo mbali sana...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni Heri ahame kwa muda, kuishi TZ anapaswa awe mvumilivu, vinginevyo anaweza kuandamana na kuwasababishia madhara watembea kwa miguu au waliomo kwenye bodaboda
 
Back
Top Bottom