Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Dah !!!
IstHabari wana JF
Eti wapi dar wanafundisha kuogelea
Natuma mkuu...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Hayo malove love vipi embu nitumie pm niamini[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Margot stOHIO Street
"Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo"Sijakwazika wala sijakereka na hizo picha.
Me nilijibia comment iliyotumwa na niliijibia kwa wakati ule nilivyosema mjaribu kuounguza kuzituma mida ya mchana.
Mlivyoanza kutuma usiku tu mlinisikia nimelalamika?
Halafu mbona naonekana kama ni miminpekeyangu niliyelalamika?
Jamani kila mtu afanye kile anaona moyo wake unapenda.
Mimi sikwaziki narudia tena SIKWAZIKI na hizi picha.
Tumeni tu.
Kama kuna mtu amekwazika na hiyo kauli(ambayo haijasemwa leo ni siku nyingi zimepita)basi ANISAMEHE,sipendi kuwa kikwazo kwa watu.
Usifukue makaburi mkuu"Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo"
Kaluta streetMargot st
"Yaliyopita si ndwele"Usifukue makaburi mkuu
Kwa kweliSpeed ya hatari
Hahahaha we shimba walahi duh!Hakuna urafiki kati ya dume la simba na mwanambuzi. Nevaaaa !!!
Uwongo banaYa Malkia hatimaye nimefanikiwa kuinyaka baada ya kuisaka kila kona. Salute. She is extremely gorgeous [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kumbe hata ukifuta picha humu bado zinahifadhiwa mahali na ukiwa na software chimbuzi unaweza kuifukua tu kama unajua tarehe iliyowekwa...
HahahahaMzee wa liver ukimdaka uniq usifiche picha kama unavyozificha za malkia wako pleaseeeeeeeee hahaha
Uniq umejitambulisha rasm mzee wa liver atakusaka kila kona
HahahahaMzee wa liver ukimdaka uniq usifiche picha kama unavyozificha za malkia wako pleaseeeeeeeee hahaha
Uniq umejitambulisha rasm mzee wa liver atakusaka kila kona