mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaHahahaha
HahahahahaHahahaha
Hakuna urafiki kati ya dume la simba na mwanambuzi. Nevaaaa !!!Amna bro jakii ni rafiki Tu na shemeji yangu wa ukweli kabisa
HahahahahaNakuona roho yako kwatu kabisa leo. Yule mviziaji wenu kazifumania nyavu za Chelsea! [emoji1][emoji1]
Speed ya hatariRekodi ya Tz walahi
HahahahahaAaah maneno ya mkosaji hayo,goli ni goliii
Nasubiria next game,manshit vs chelsick wacha weeeee
Aisee wewe ndugu yake kaizari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nimemtag kabisa. Nataka mzee alale sebuleni au nyumba ya mbwa (dog house) hata wiki nzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uhuru tunao na kwa kweli hatutakubali tuvuke mipaka kiasi cha kuwaumiza wengine. Tutaheshimu na kulinda Uhuru wa wengine ndani ya Uzi huu. NIMESEMAHizi zinazolalamikiwa mbona ziliwekwa mida ya wanga? Kila mtu yuko huru kuweka anachotaka hapa lakini pia ni muhimu kutokwazana and I am sensitive to that. Huwa sipendi kuumiza/kukwaza watu maishani mwangu. Mbona mambo ya siasa na dini tumekubaliana na kwa kiasi kikubwa ni kama tumefanikiwa? Kuishi na wenzetu vizuri ni pamoja na kusikilizana nao. Ndicho ninachofanya hapa shemeji japo uhuru niliounyakua kwa Numbisa ninao...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumepigwa?Aseno wenga anapata dhambi sana hana huruma kabisa![]()
Hayo malove love vipi embu nitumie pm niamini[emoji41] [emoji41] [emoji41]Ya Malkia hatimaye nimefanikiwa kuinyaka baada ya kuisaka kila kona. Salute. She is extremely gorgeous [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kumbe hata ukifuta picha humu bado zinahifadhiwa mahali na ukiwa na software chimbuzi unaweza kuifukua tu kama unajua tarehe iliyowekwa...