Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

28150766_1662658440446930_8765810960150560768_n.jpg
Pink. Pink. Pink...What a beautiful color [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Mie Mkuu sioni kabisa ubaya wa hizi picha. Na ndiyo sababu hata MODS hawajatia neno ni picha ambazo unaweza kabisa kuziona wahusika wakiwa public kama ni beach au kwingineko. Mie Mkuu napinga kabisa picha hizi kukataliwa katika uzi huu sioni sababu yoyote ile ya maana ya picha hizi kukataliwa. Labda tuelezwe picha hizi zina kasoro zipi hadi zisitakiwe kuwekwa hapa.

carbamazepine
Mkuu tupia tu Mimi mwenyewe ni fans wa hizo picha although my Queen hataki nizione [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatutaki kuwakwaza wengine
 
Back
Top Bottom