Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United imerudi katika nafasi ya pili baada ya Jesse Lingard kuwapa ushindi kwenye mechi kali dhidi ya Chelsea huko nyumbani Old Trafford.
Iliwalazimu Manchester United kufanya kazi ya ziada baada ya William kuiweka Chelsea kifua mbele kipindi cha kwanza.
Baada ya mapumziko United walijipanga ambapo Romelu Lukaku alimtangulia Marcos Alonso nakuisawazishia Manchester na kuwa bao lake la kwanza dhidi ya klabu yake ya zamani.
Lukaku kwa mara nyingine tena akampa Lingard mpira msafi zikiwa zimesalia dakika 15 mechi ikamilie na bila kuchelewa akasukuma wavuni.
Chelsea watabaki katika nafasi ya tano baada ya Tottenham kuwashinda Crystal Palace 1-0 mapema leo.
 
Lakini hata zikiwekwa usiku atakayefungua mchana ataziona na mimi kwa kweli sioni matatizo ya picha husika.

Ee man u damu damu.

Mmh kuna zile mnawekaga mchana aiseee kuna moja uliiweka nikakutag na kukwambia hazifai wakati wa mchana sio nzuri na nikaandika comment ya kumtaka shimba awaambie muwe mnaziweka usiku,nikaungwa mkono na wengi.

Muwe mnaweka usiku bana,mchana zinazingua macho yasiyo na pazia
 
098a8867c94e5ab65a96f7bd755f4da8.jpg
Kijibwa koko
 
Lakini hata zikiwekwa usiku atakayefungua mchana ataziona na mimi kwa kweli sioni matatizo ya picha husika.
Mie naona bana hebu fikiria tuanze weka mapicha ya jamaa na saksifon zao kwenye boxer za kila aina mchana kweupee lazima zitawaboa. Atakayezifata page za usiku ni kosa lake na atakaye quote kosa lake ila kupost mchana kosa la mtoa post
 
Ahaaa! Lakini hizi hazionyeshi uchi wa warembo zaidi ya msambwanda na wale wenye kuvaa picchu za kubana huonyesha muonekano wa nonino. Kusema kweli picha za wanaume kama hizo nimeshaziona humu na mimi siwezi kuwa mmoja watakaoboreka nazo.

Unadhani kwanini MODS hawajatia neno Numbisa?

Ya Malkia hatimaye nimefanikiwa kuinyaka baada ya kuisaka kila kona. Salute. She is extremely gorgeous [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Kumbe hata ukifuta picha humu bado zinahifadhiwa mahali na ukiwa na software chimbuzi unaweza kuifukua tu kama unajua tarehe iliyowekwa...
Ayaaaa shimba acha utani bana duh nataman niipate hio software nikachimbue picha na post za u turn blog nifaidi mashauzi ya enzi zileeeee
 
Ahaaa! Lakini hizi hazionyeshi uchi wa warembo zaidi ya msambwanda na wale wenye kuvaa picchu za kubana huonyesha muonekano wa nonino. Kusema kweli picha za wanaume kama hizo nimeshaziona humu na mimi siwezi kuwa mmoja watakaoboreka nazo.

Unadhani kwanini MODS hawajatia neno Numbisa?
Modsnao si wanaume wale wale wakiona msabwax na raman ya noniino wanasahau kubonyeza button ya ban wanabaki kufurahia uumbaji

Just imagine BAK tangu uanze tupia hizi picha picha kale ka mchezo ka kukupiga ban kila wiki kameisha kabisaaa maana wanajua watakosa uhondo hahahaha
 
Back
Top Bottom