Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United imerudi katika nafasi ya pili baada ya Jesse Lingard kuwapa ushindi kwenye mechi kali dhidi ya Chelsea huko nyumbani Old Trafford.
Iliwalazimu Manchester United kufanya kazi ya ziada baada ya William kuiweka Chelsea kifua mbele kipindi cha kwanza.
Baada ya mapumziko United walijipanga ambapo Romelu Lukaku alimtangulia Marcos Alonso nakuisawazishia Manchester na kuwa bao lake la kwanza dhidi ya klabu yake ya zamani.
Lukaku kwa mara nyingine tena akampa Lingard mpira msafi zikiwa zimesalia dakika 15 mechi ikamilie na bila kuchelewa akasukuma wavuni.
Chelsea watabaki katika nafasi ya tano baada ya Tottenham kuwashinda Crystal Palace 1-0 mapema leo.
 
Hapana Numbisa BAN zangu chanzo ni kutumia haya maneno mawili DIKTETA UCHWARA. Kwa mshangao wangu bado natumia na wengi kule siasani nawaona wengi wakitumia maneno hayo mawili lakini hawapigwi ban.

Modsnao si wanaume wale wale wakiona msabwax na raman ya noniino wanasahau kubonyeza button ya ban wanabaki kufurahia uumbaji

Just imagine BAK tangu uanze tupia hizi picha picha kale ka mchezo ka kukupiga ban kila wiki kameisha kabisaaa maana wanajua watakosa uhondo hahahaha
 
Picha kama hii mie sioni tatizo kusema kweli

28156821_153509751962909_2824952414673567744_n.jpg
 
Hakuna kitu kama hicho my love you're safe in my hands
Ni utani tu wapendwa. Msije mkachukulia siriazi. Hata kama ningekuwa nayo, so what? Tu familia sasa na hakuna hata sababu ya kuogopana hivi. Nikipita DOM kama utakuwepo usije ukanikimbia kama alivyofanya Numbisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom