Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mh!KARIBU TENA...
Sijui hata waimba nini kwakweli[emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] talalaa. . ..lalalaa...tantalalala[emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
Genta kashataja tayari??I love this game
Watu ndo hupika nekedi??Karibu chijijini kwetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nyimbo zako hizi sometimes unazijua mwenyewe tu kwa kweli. Kwema?[emoji124] [emoji124] [emoji124] talalaa. . ..lalalaa...tantalalala[emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
Mwenyekitiiiiiiiii !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usipoielewa ulizaaaa
Kuna uwezekano wa kuagiza mvua ya kutengeneza kutoka Thailand mkuu...
Jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] tupo kuogelea mtoni ila ndo vilee.... Zamu yangu kupika,nguo zimeachwa huko huko mtoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwendaaaaa... Mbona maparachichi wayalaga nekedi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu ndo hupika nekedi??
Hicho chakula sili....