Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

93bf5f01c05a6a670bf3a37a57702b3d.jpg
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kisifeeee...BAK,SYB na ho chi minh chama kinawategemea hiki...

Naomba ho chi minh na moudgulf msizifukue mchana zile picha zenye kuonyesha dalili za kipande cha chenzaa...

Halafu, BAK na SYB mkiacha....(sijui nilitaka kusemajeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )....

Enheee mkiacha kutupia mimi nitaenda wapi????
Chenzaaaaa!
Cheeeeenzaaaa!
 
Jamaniiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiyaponda ponda hapo unapata guacamole. Guacamole hiyo ukiipaka kwenye lile chenza utamu wake haupimiki. Guacamole inafaa pia kwenye mikate kama mbadala wa Blue Band na makemikali mengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom