Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenyekiti wetu ametusaliti. Muone na masaksafoni yake. Chama kishakufa hiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kisifeeee...BAK,SYB na ho chi minh chama kinawategemea hiki...

Naomba ho chi minh na moudgulf msizifukue mchana zile picha zenye kuonyesha dalili za kipande cha chenzaa...

Halafu, BAK na SYB mkiacha....(sijui nilitaka kusemajeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )....

Enheee mkiacha kutupia mimi nitaenda wapi????
 
Sijakwazika wala sijakereka na hizo picha.
Me nilijibia comment iliyotumwa na niliijibia kwa wakati ule nilivyosema mjaribu kuounguza kuzituma mida ya mchana.

Mlivyoanza kutuma usiku tu mlinisikia nimelalamika?
Halafu mbona naonekana kama ni miminpekeyangu niliyelalamika?

Jamani kila mtu afanye kile anaona moyo wake unapenda.
Mimi sikwaziki narudia tena SIKWAZIKI na hizi picha.

Tumeni tu.

Kama kuna mtu amekwazika na hiyo kauli(ambayo haijasemwa leo ni siku nyingi zimepita)basi ANISAMEHE,sipendi kuwa kikwazo kwa watu.
Jirani jirani jirani.....
 
Nadhani alisema zisitumwe wakati wa mchana; na tulimsikiliza. Hata mida yetu ya wanga kumbe hazitakiwi? Picha nyingi ni za mabinti wako beach mchana kweupe wakifurahia maisha na hata leo nikienda beach hapa nakutana nao. No big deal.

Kama hazitakiwi kabisa hapa katika muda wo wote semeni. Na CHAWAMITA tukiue kifo cha mende.

Wakuu BAK na Ho Chi Minh mnasemaje kuhusu hii ishu?
Mkuu tupia tu ndio raha ya uzi huu post chochote upate likes lakini sio lugha chafu wala picha chafu
 
Lakini hizi zinazolalamikiwa niliziweka mwenyewe na niko very careful kutovuka kiwango cha maadili. Niliziweka saa tisa usiku. Na still kuna malalamiko...

Tujadilianeni tu tufikie muafaka kwa sababu hakuna haja ya kuwa tunakwazana wapendwa. Ndiyo maana nimewaita na wenzangu BAK na Mchina nao waje watie neno....
Mkuu Mimi naomba niwe fair kwenye hili hata Mimi na my goddess ISIS nafikiri kuna picha tuna post labda zinawakwaza watu lakini hawasemi lakini ndio raha ya Uzi huu stress free zone kinachotakiwa no matusi no picha chafu nikisema picha chafu sio zile mnazotuma zinaeleweka hope wote tumeelewana muwe na Jumapili njema kajoto ka kutosha hapa Handeni
Yanga 1 Majimaji 0 half Time naingia kwa old Trafford now
 
Kidogo nikuite mkuu hahahaa,nimeangalia chanzo nimekuta ni comment ya moud kisha andjul akaiquote,hivi kwann moud akisema ndo kama kaongelea wengi?kuna kipind alikwambia upunguze mapicha picha na kweli ukapunguza kipind hicho ulikua koromije. Saiv kakoment tu andjul katania umeichukulia serious,mie naona sio kosa lako maana picha umeiweka usiku so kosa ni la aliyeiquote mchana na kukoment yake bora ange like na kuipita bila kuquote

Be freee bana,maoni ya watu muhimu ila sio yote ya kusema uyafanyie kazi. Usiku ni muda muafaka wa hizo picha.

Kuwa kama ruta,anamwaga picha zake weeee na hasikilizi malalamiko ya watu bali anafanya kile akionacho yeye ni sahihi
Well said my princess
 
Hizi zinazolalamikiwa mbona ziliwekwa mida ya wanga? Kila mtu yuko huru kuweka anachotaka hapa lakini pia ni muhimu kutokwazana and I am sensitive to that. Huwa sipendi kuumiza/kukwaza watu maishani mwangu. Mbona mambo ya siasa na dini tumekubaliana na kwa kiasi kikubwa ni kama tumefanikiwa? Kuishi na wenzetu vizuri ni pamoja na kusikilizana nao. Ndicho ninachofanya hapa shemeji japo uhuru niliounyakua kwa Numbisa ninao...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mkuu tupia bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi mwenyewe napenda hizo picha lakini my Queen usione hii post
 
Back
Top Bottom