mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Amun RaSijakwazika wala sijakereka na hizo picha.
Me nilijibia comment iliyotumwa na niliijibia kwa wakati ule nilivyosema mjaribu kuounguza kuzituma mida ya mchana.
Mlivyoanza kutuma usiku tu mlinisikia nimelalamika?
Halafu mbona naonekana kama ni miminpekeyangu niliyelalamika?
Jamani kila mtu afanye kile anaona moyo wake unapenda.
Mimi sikwaziki narudia tena SIKWAZIKI na hizi picha.
Tumeni tu.
Kama kuna mtu amekwazika na hiyo kauli(ambayo haijasemwa leo ni siku nyingi zimepita)basi ANISAMEHE,sipendi kuwa kikwazo kwa watu.