Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu,wewe umezitupia usiku,huku zinafukuliwa mchana zinavyo sifiwa na watazamaji wengine...Lakini hizi zinazolalamikiwa niliziweka mwenyewe na niko very careful kutovuka kiwango cha maadili. Niliziweka saa tisa usiku. Na still kuna malalamiko...
Tujadilianeni tu tufikie muafaka kwa sababu hakuna haja ya kuwa tunakwazana wapendwa. Ndiyo maana nimewaita na wenzangu BAK na Mchina nao waje watie neno....
Nasubiri mapicha pichaLeo najipikilisha sato. Mrejesho baadaye...[emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Nimewatia kwenye oven. Sijui wana hali gani huko. Kuwachemsha aisee ningechemsha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiri mapicha picha