Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui kwa nini kachukulia serious hivi. Nami naomba nisamehewe jamani. Nilikuwa na nia njema tu ya kuwekana sawa katika uzi wetu huu hasa ukizingatia kuwa tumekuwa kama ndugu wapendwa. Nilidhani kuwa tuko huru kujadiliana tu kwa nia njema kabisa.

Tuendeleeni kula likes bana. Carba samahani sana. Usikubali nikuharibie Jumapili yako kwa jambo dogo kama hili...
Mie nimechukulia utan.

Hope tutarudi sawa kwenye uzi wetu pendwa
 
Nadhani alisema zisitumwe wakati wa mchana; na tulimsikiliza. Hata mida yetu ya wanga kumbe hazitakiwi? Picha nyingi ni za mabinti wako beach mchana kweupe wakifurahia maisha na hata leo nikienda beach hapa nakutana nao. No big deal.

Kama hazitakiwi kabisa hapa katika muda wo wote semeni. Na CHAWAMITA tukiue kifo cha mende.

Wakuu BAK na Ho Chi Minh mnasemaje kuhusu hii ishu?
Sio hazitakiwi,ila zinafukuliwa mchana kweupeeeee....
 
40cb76585df1c6458e6048a034525064.jpg
 
Sipendi kukwaza watu ndio mana.
Na sipendi mtu akose amani sababu yangu.

Niko na shida moja nikiamua kulipuka huwa nalipuka vizuri tu na nikiamua kukaa kimya nikapotezea huwa nafanya hivyo.
Safi shosti ake ila leo nimekupenda zaidi. Naiga hii style subiria sasa waniletee za kuleta kule kwa ubuyu natiririrka gazeti si la nchi hii
 
Back
Top Bottom