Naona umeamua kuongea kikoromije leoWangw’ise gete, yaani gokaya gete gete...basukuma na hip hop! kinehe??
Unataka rap za Kisukuma? Kuna kijana mmoja anaitwa Buganga kule Simiyu anawasha moto balaa. Aliifanyia Remix ile beat ya Wacha Maneno Weka Muziki yaani ukiisikiliza utacheka mpaka uvunjike mbavu...Wangw’ise gete, yaani gokaya gete gete...basukuma na hip hop! kinehe??
Kabisaa kinga bora kuliko tibaHii ni habari njema basi.
Naona mkakati wa kupunguza kansa ya shingo ya kizazi unaelekea kuzuri.
Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Gudi moningi mkuu
Naona umeamua kuongea kikoromije leo