Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Women at Work...Boxer Vanda Ward getting knocked out...One of the most terrifying knockouts in women boxing...Sweet science....
Hii ni habari njema basi.Serikali inatarajia kutoa chanjo kwa wasichana 614,734 wenye umri wa miaka 14 nchini ili kuwakinga na saratani ya shingo ya kizazi.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo leo Februari 27,2018 katika mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi,Mkutano huo umewashirikisha viongozi wa dini na wadau wa sekta ya afya.
Gudi moningi mkuu
Hizi kazi zingine wanawake haziwafai bhana.Women at Work...Boxer Vanda Ward getting knocked out...One of the most terrifying knockouts in women boxing...Sweet science....![]()