Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

App na pia mtandao wa kijamii namba moja duniani kwa ku ‘share’ picha kwa marafiki na familia. instagram unaarufu wake wa haraka unavuti. Pia ni siku chache tuu zimepita Instagram imepita twitter kwa kutumiwa zaidi dunia. kwa sasa ina watumiaji wa kudumu milioni 300
 
Flickr inakupatika 1TB kama nafasi ya kuhifadhi picha zako na hii ni kali kuliko ile App ya Dropbox ambayo inakupa 2Gb tuu za kuhifadhia picha. Kwa kutumia Flickr, utachoka wewe tuu kama unatafuta app ambayo itaishinda flickr kwa nafasi ya kuhifadhi picha zako hautaipata na pia App ni ya kijanja
 
App Maalum Kwa Ajili Ya iOs: TiltShiftGen2



Unaweza usijue maana lakini ukawa unajua jinsi App hii ilivyo. Jinsi ya kuzifanya picha ziwe kama app hii inavyofanya ni vigumu kidogo maana inahitaji lenzi ambazo ni ngali kwa kamera yako. lakini kwa kutumia hii App kila kitu kitakaa sawa bila ya kutumia pesa nyingi
 
App Maalum Kwa Ajili Ya Android: Facetune



Facetune ni App ya ku ‘edit’ picha ipo maridadi zaidi kwa picha za uso na ‘selfies’. ina zana mbalimbali kutoka kwenye kuyafanya meno yawe meupe zaidi, kuondoa chunusi na madoa usoni, kurekebisha rangi na mengine mengi ( lakini, Ha!). inauzwa dola za kimarekeni 2.99 bei hii inaonekana ina mwinuko mkubwa lakini kama wewe ni mpenzi wa App nzuri za picha hii ina thamani ya hiyo pesa kiukweli
 
App Bora Ya HDR Kwa iOs: Pro HDR X



Simu-janja ni rahisi kubebeka kulikko kamera zingine, lakini sehemu moja ambapo watu wengi wanachemka ni pale kwenye kupiga picha yenye mwangaza na giza katika picha moja. Kwa ujanja unaweza kutumia App kama Pro HDR X ambayo inapiga picha mbili -yenye mwangaza na yenye ugiza giza- kwa wakati mmoja na kuziunganisha kuwa kitu kimoja ili kuleta HDR (high dynamic range). watumiaji wa Android bado wanaweza kutumia Pro HDR
 
23347973_1633752793351939_214697396423098368_n.jpg

https://www.instagram.com/tuerny
 
*PUNGUZA MZIGO, PUNGUZA MARAFIKI FEKI PUNGUZA KABISA TENA WAPUNGUZE SANA TU;WAPUNGUZE ILI UWE MWEPESI*

*Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" Punguzaaaa!*

*Punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar. Punguzaaaa!*

*Punguza marafiki ambao umeongea nao kitu mkiwa wawili mwisho wa siku unakikuta kimeenea sehemu nyingine. Punguzaaaa!*

*Punguza marafiki ambao wako right kila siku wenyewe hawataki kuambiwa wamekosea. Punguzaaaa!*

*Punguza marafiki ambao wakija kwako wao urafiki unahamia kwa mumeo au mkeo aliyekaa sebuleni wakati wewe kakuacha nje. Punguzaaaa!*

*Punguza marafiki ambao wanakuwa na urafiki na maadui zako kwa ukaribu zaidi. Punguzaaaa!*

*Punguza marafiki wa kwenye raha tu ukiwa na shida unajikuta peke yako. Punguzaaaa!*

*Punguza marafiki wanaokusifu huku wakijua umekosea. Punguzaaaa!*

*Punguza marafiki ambao kila ukiwapigia simu na wao utawasikia yaani nilitaka kukupigia sasa hivi. Punguzaaaa!*

*PUNGUZA MIZIGO ISIYOKUWA NA UMUHIMU*
 
Spiritual problem is when you walk 5km to work just to get there and realize that the office key is at home, so you bottle up all the emotions this time and walk back home leaving the heavy bag at the office doorstep. On getting home, you now realise the house key is actually in the bag you left at the office doorstep, so you boil up a lil bit but work must go on! So you walk back to the office, pick up the bag angrily and make your way back to the house. On getting home you dip your hands into the bag and see the office key.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
751. Why do spiders sometimes stay still for a long time?

Web-spinning spiders obviously remain motionless while they are waiting for something to land in their web. Moving around wastes energy and draws attention to the spider, which makes it more likely to be eaten by birds, and makes flies less likely to get caught in the web.
Spinning a web is quite an energy-intensive process and a spider may have to wait days or weeks for a catch, so it is important to conserve as much energy as possible. Hunting spiders are much more active, but many of them are nocturnal predators and spend the day tucked away in a nest or under a rock - again, this is to conserve energy and avoid becoming prey.
 
Viongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA leo wameripoti makao makuu ya Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam ikiwa ni muitikio wao kwa Jeshi hilo kufuatia kuhitajika kwa ajili ya mahojiano. Viongozi walioripoti ni Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe, Naibu Katibu Mkuu, John Mnyika, Salum Mwalimu na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake BAVICHA, Halima Mdee.
 
Shirika la mawasiliano Tanzania Limesema kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika kuwa na intaneti ya bei nafuu, na hii hiyo imewezekana kutokana na Tanzania kuna mkongo wa taifa ambao unasimamiwa na shirk la mawasilano TTCL
 
750. What is a Meteor Shower?

A meteor shower occurs when lots of meteoroids enter the Earth’s atmosphere. Meteoroids are bits of dust and rock from comets that are released when their orbit brings them close to the Sun. The Sun’s heat boils off some of the comet’s icy surface and the resulting debris then trails it in orbit. Meteoroids that enter the Earth’s atmosphere are known as meteors, and can regularly be seen travelling across the night sky. However, several times each year, the Earth’s orbit crosses with the orbit of a comet causing it to collide with a bunch of meteoroids all at once. As they are usually very small, most meteors burn up in the atmosphere before they reach the Earth’s surface, but those that do occasionally hit the ground are known as meteorites.
 
Serikali inatarajia kutoa chanjo kwa wasichana 614,734 wenye umri wa miaka 14 nchini ili kuwakinga na saratani ya shingo ya kizazi.

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo leo Februari 27,2018 katika mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi,Mkutano huo umewashirikisha viongozi wa dini na wadau wa sekta ya afya.
 
749. What is Argyria?

Argyria is a condition in which skin turns a blue-grey shade, provoked by ingesting silver. Broken down in the stomach, silver enters the bloodstream as a salt and is deposited in the skin. Light oxidises it, producing blue or grey-silver compounds. Sufferers have usually taken colloidal silver supplements – an alternative remedy with no known benefits.
 
748. Why Uranus have Blue and Green color?

The temperature in the upper atmosphere is very cold. Its atmosphere is composed primarily of hydrogen and helium, with a small amount of methane and traces of water and ammonia. Uranus gets its blue-green color from methane gas. Sunlight is reflected from Uranus's cloud tops, which lie beneath a layer of methane gas.
 
Ummy amesema Serikali itaanza kuchanja wasichana wa umri huo ambao hawajaanza vitendo vya kujamiiana waliozaliwa kati ya mwaka 2003 na 2004.

Amesema kutokana na mazingira ya upatikanaji wa chanjo hiyo na gharama kuwa kubwa, wataitoa kwa wasichana wenye miaka 14,Ummy alisema ilipaswa kutolewa kwa wasichana wa kati ya miaka 9 hadi 14.

“Gharama ni Sh30,000 kwa kila msichana wakati Sh5.5 milioni hutumika kumtibu mgonjwa mmoja wa saratani katika Taasisi ya Ocean Road," amesema Waziri Ummy.
 
746. Why does garlic give you bad breath?

Garlic contains a chemical called allyl cysteine sulphoxide or ‘alliin’. When a raw garlic clove is crushed or chopped, an enzyme in the garlic cells is released that reacts in a matter of seconds with the alliin to produce a chemical called allicin. This breaks down into lots of other chemicals, most of them stinky.
Nearly all of these chemicals are broken down in your stomach and liver, but allyl methyl sulphide is one that survives to be absorbed into the bloodstream intact. This means that it can diffuse out through your lungs into the air you exhale for up to two days. Brushing your teeth has only limited effect because the chemical is still in your blood.
 
Back
Top Bottom