carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kweli kabisa.....lakini wanafanana japo huyu hajatumia mkorogo. Wema naye ni mzuri sana ila kubadili badili wanaume kama anabadili picchu kumemfanya achuje haraka.
Wema nizuri sema kujigeuza "daladala" na vipodozi vya kujichubua vimemuaribu sana.
Kipindi anagombea u miss alikuwa msupuu sana.