Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Uwiiiii mbona nae mkorogo kwa sana,zile picha ana.edit balaa akiwa hana edit utamkimbia halafu wote hao uliowataja wauza mikorogo wakubwa.Hata hivyo sasa hivi ukiangali unaona makeup zinaanza kuacha ngozi.
Maimatha na director joan do walikuwa mashosti zake kipindi kile.
Ila mwangalie director joan hata hajajichubua kama huyu bibie.
Mai alikua anamtumia wema kibiashara wakazinguana,director nae hovyo hivyo akatumia jina la wema weee makonda akatibua alivyowataja kwenye soo la madawa ya kulevya ,ushost ukafia hapo