Kubanana raha sana hasa nyakati za baridi hahahahahahahahahahahaha ni raha juu ya raha, ila sijawahi kuzipenda dala dala nazichukia vibaya sana. carbamazepine hebu niambie sababu tatu tu ya raha ya kuzipanda dala dala.
Hahahah nimewaza zile timbwili za uzi huu enzi hizooooo si mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui umewaza nini kwakweli
Ila ilikuwa utani tu
Kubanana raha sana hasa nyakati za baridi hahaha
Umbea,watu wanapoga story mbalimbali mara huyu anaongea na simu sasa ukute ni mmama anatoa maelekezo ya mboga na matumizi yake utapenda
Kuangalia watu mbalimbali walivyovyaa wanavyonukia,walivyonuna au kutabasamu gari wee acha tu
Tusubire carba aongeze faida zaidi
Wema angekua hivi uwiii tusingekaa mujini kwa aman
safiii
Ahahahaha hamna bana siongelei kubanwa kwa kubambia hahaha koromije kuna vipanga vya kutosha mnakaa siti wawili na wale watakaosimama gar full baasi full jotoHaya banaaaa kuna maeneo maalum ambayo hupendwa kubana? Kwa hiyo wakati wa baridi kama halijajaa Numbisa hununa leo sijabanwa LOL! Pesa yangu imeenda bure 🙂🙂
Kipindi kile kulikuwa na burudani ya aina yakeHahahah nimewaza zile timbwili za uzi huu enzi hizooooo si mchezo
Wema angekua hivi uwiii tusingekaa mujini kwa aman
Ila ka wema ni kazuri sema mkorogo na mavipodozi ya kichina kayaendekeza sana.Wema angekua hivi uwiii tusingekaa mujini kwa aman
Nipo mbali Dodoma Handeni huku feel lonelyLetaaa habar mzee wa liver
Kipindi kile kulikuwa na burudani ya aina yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh!
Wahenga wakigombania goli na andaeitini[emoji23][emoji23][emoji23]