mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Suguuu
YapSuguuu
Letaaa habar mzee wa liver
Ule uzi ni hatari.Kuna uzi nimeuona wa RPC Arusha....
Mpaka nafika kommenti ya 95,ni kommenti 4 tu za pole kwa ajali. Zingine zote ni za kumlaumu aidha iziraeli mtoa roho au kwanini mapenzi ya Mungu hayajatimia...
Hili neno UZALENDO silielewi maana yake kwa kiswahili cha kuanzia 2015...
[emoji23][emoji23][emoji23]Maandaeitini nyie mtaishia kupotezeana muda tu. Atufungulie sisi wahenga ahengeke kwanza kiaina kabla hajahengeka kimwili...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Ma sponsor hao[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa kabisaaa.....
Teh!Wahenga hamna kitu, msimhengeshe mtoto wa mhenga mwenzenu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa Kwani anakunywaga ile mimvinyo myekundu unayogawaga. Kabla yako kuliwahi kuwa na mtu hapa alikuwa anatembea na wedding rings za visoda. Alioa hapa hapa akafikisha karibu wake sita...Ila sijaona matunda yako ya red wine mkuu...Hamia kwenye wedding rings ikibidi achana na red wine....
Kupanda daladala kuna raha yake bhana.Usafiri wangu huu. Kutokuwa na gari mjini ni shida sana kwa kweli. Koromije huko unapiga mguu, unapanda baisikeli au unadandia ndege ya mzee wa malimao....
Mwacheni pimbi wangu jamani[emoji23][emoji23]Hahahahahahahaha siku hizi anaitwa pimbi hahaha
Yupi huyo?Pimbi alikuwa anawaoa kila siku. Afadhali sasa kabaki na mmoja tu tena wa ukweli [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️