Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani Yego ni mtoto ila stori zake za zamaniiii
45a0b2928f0b886315fc405ead444fb9.jpg
6b5c3dcbf493870ed014304d6a8744a9.jpg
 
Tajiri? Mimi huyu? Hapana bana. Mi sina kitu...na kidogo Mola anachonijalia nashea na wenzangu wenye shida zaidi yangu. Tena sasa na mama hayupo ndo kabisaaaaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mmmh jaman sijui lini ntapata shida shimba anisaidieee

Ila si kuna ndugu wengine jaman utasaidia tu ila mama apumzike kwa aman zaidi
 
Numbisa Kwani anakunywaga ile mimvinyo myekundu unayogawaga. Kabla yako kuliwahi kuwa na mtu hapa alikuwa anatembea na wedding rings za visoda. Alioa hapa hapa akafikisha karibu wake sita...Ila sijaona matunda yako ya red wine mkuu...Hamia kwenye wedding rings ikibidi achana na red wine....
Hahahahahahahaha siku hizi anaitwa pimbi hahaha
 
Back
Top Bottom