mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahhaa
Na kenyewe kahenga tu. Kanajua mpaka mambo ya zamani mno...
Oooooooo!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] umeharibu sasa!!!
Ungeitikia tu "naaaamuu"....
HahahahaWee nawe... Si usubiri kwanza tupewe jibu!!!!
Kiboko yao hawa Mugabe....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaman jaman mnajua kumuonea yegoKamedandia treni la mizigo kwa mbele tena treni lenyewe hata breki halina, dreva kalewa na taa zake hazifanyi kazi halafu liko mkuku balaa....na ni usiku wenye giza totoro....
Not to that extent my friend [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Hivi mbona mnajua habari za akina Albert Einstein, ina maana mlikuwepo kipindi hicho? [emoji15]